Close Menu
Bongoforum

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    January 14, 2026

    NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

    January 14, 2026

    NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

    January 14, 2026
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Home
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    BongoforumBongoforum
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Subscribe
    Bongoforum
    Home»Ajira»NAFASI 976 za Kazi UTUMISHI
    Ajira

    NAFASI 976 za Kazi UTUMISHI

    Bongo ForumBy Bongo ForumNovember 9, 2025No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Kwa niaba ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Shirika la Usimamizi wa Usafirishaji Tanzania (TASAC), Kampuni ya Usafirishaji na Ushughulikiaji Mizigo Tanzania (TASHICO), Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Kituo cha Uendelezaji wa Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Bodi ya Udhibiti wa Maghala ya Hati (WRRB), Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA), Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), Mpango wa Uwajibikaji katika Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Tanzania (TEITI), Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO), Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Tume ya Madini Tanzania (TMC), Wakala wa Maji Vijijini na Usafi wa Mazingira (RUWASA), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Kituo cha Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Shirika la Mzinga, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, Taasisi ya Maji (WI), Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) na Wakala wa Maabara ya Mifugo Tanzania (TVLA),

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye uwezo wa juu, wanaolenga matokeo, wanaojiamini, waadilifu, wabunifu na wenye sifa stahiki kuomba kujaza nafasi za kazi wazi zipatazo mia tisa sabini na sita (976).

    NAFASI 976 za Kazi UTUMISHI

    Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAFASI za Kazi TANAPA Tanzania
    Next Article NAFASI 23 za Kazi Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)
    Bongo Forum

    Related Posts

    Ajira

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    January 14, 2026
    Ajira

    NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

    January 14, 2026
    Ajira

    NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

    January 14, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal January 2026

    January 12, 2026427 Views

    NAFASI 912 za Kazi Utumishi (MDAs & LGAs)

    January 14, 202633 Views

    NAFASI 142 za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

    January 11, 202631 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    © 2026 BongoForum. Designed by BongoForum.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

    Ad Blocker Enabled!
    Ad Blocker Enabled!
    Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.