Michezo
Kurasa hii itakupa fursa ya kuweza kusoma habari za michezo kama vile matokeo ya mechi, vikosi vya timu, misimamao ya ligi kutoka ligi za ndani na nje ya Tanzania
Kikosi Cha Simba SC Msimu wa 2025/2026
Simba Sports Club, maarufu kama Wekundu wa Msimbazi, imekuwa moja ya vilabu vikubwa zaidi barani Afrika na klabu bora nchini Tanzania. Msimu wa 2025/2026 unaonekana kuwa wa kihistoria kwa Simba SC, kutokana na usajili mpya, wachezaji waliobaki, na mikakati mipya chini ya benchi la ufundi lenye uzoefu mkubwa. Katika makala haya, tutaorodhesha kikosi kizima cha […]
Cv ya Pedro Gonçalves Kocha Mpya wa Yanga Sc 2025
Pedro Valdemar Soares Gonçalves (amezaliwa tarehe 7 Februari 1976) ni kocha wa soka kutoka Ureno na kwa sasa ndiye kocha mkuu wa klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League). Wasifu na Kazi Yake ya Awali Gonçalves alianza kazi yake ya ukocha mwaka 1997 katika klabu ya […]
Kikosi Cha Yanga SC Msimu wa 2025/2026
Kikosi Cha Yanga SC, Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imeendelea kudhihirisha ubora wake katika soka la Tanzania na Afrika Mashariki kwa kuunda kikosi imara kinacholenga kutwaa makombe yote msimu wa 2025/2026. Hapa tunakuletea uchambuzi wa kina wa kikosi kizima cha Yanga SC, kuanzia wachezaji wapya, mastaa waliobaki, hadi mipango ya klabu kwa […]
