Bongoforum

rss feed Author's Website

Bongoforum's Latest Posts

MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuomba nafasi (08) za kazi baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Bonyeza Hapa Kudownload PDF […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Crae Assistant) Utumishi

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Crae Assistant) Utumishi

MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI (CHILD CARE ASSISTANT) – Nafasi 2 MAJUKUMU YA KAZI i. Kushiriki kutekeleza mpango jumui wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya watoto, (ECD integrated plan); ii. Kuandaa na kutekeleza ratiba ya shughuli za kila siku katika kituo husika; iii. Kubainisha na kutumia mazingira salama ya kujifunzia watoto; iv. Kutoa rufaa […]

Continue Reading »

NAFASI 201 za Kazi Mwalimu Daraja la IIIC Fizikia (Physics) Utumihi

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI 201 za Kazi Mwalimu Daraja la IIIC Fizikia (Physics) Utumihi

MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) – Nafasi 201 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; iii. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; iv. Kusimamia […]

Continue Reading »

NAFASI 709 za Kazi Mwalimu Daraja la IIIC Hisabati (Mathematics) Utumishi

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI 709 za Kazi Mwalimu Daraja la IIIC Hisabati (Mathematics) Utumishi

MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) – Nafasi 709 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; iii. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; iv. Kusimamia […]

Continue Reading »

NAFASI 912 za Kazi Utumishi (MDAs & LGAs)

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI 912 za Kazi Utumishi (MDAs & LGAs)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 912 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. NAFASI 912 za Kazi Utumishi (MDAs & LGAs) Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ifakara Health Institute (IHI)

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ifakara Health Institute (IHI)

Ifakara Health Institute (IHI) ni taasisi ya utafiti wa afya inayotambulika kimataifa, yenye makao yake makuu nchini Tanzania. Taasisi hii imejikita katika kufanya tafiti za kisayansi zinazolenga kuboresha afya na ustawi wa jamii, hususan katika maeneo ya magonjwa ya kuambukiza kama malaria, kifua kikuu, na VVU/UKIMWI. Kupitia ushirikiano na serikali, vyuo vikuu, na mashirika ya […]

Continue Reading »

NAFASI 1500 za Walimu wa Kujitolea Shuke za Sekondari 2026

Filed in Ajira by on January 14, 2026 0 Comments
NAFASI 1500 za Walimu wa Kujitolea Shuke za Sekondari 2026

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM –TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu “Global Partnership for Education Teacher Support Programme(GPE – TSP)” inatekeleza afua mbalimbali ikiwemo kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea (engagement of volunteer teachers). Kupitia mradi huu, OWM – TAMISEMI inatangaza nafasi za kujitolea kwa […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Neo Group Tanzania

Filed in Ajira by on January 13, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Neo Group Tanzania

Neo Group Tanzania ni kampuni inayojihusisha na utoaji wa huduma na bidhaa mbalimbali katika sekta tofauti za biashara nchini Tanzania. Kundi hili limejikita katika kuleta ubunifu, ubora, na suluhisho endelevu ili kukidhi mahitaji ya wateja wake, huku likizingatia maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kupitia usimamizi wenye weledi na maadili ya uwajibikaji, Neo Group Tanzania imeendelea […]

Continue Reading »