Close Menu
Bongoforum

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    January 14, 2026

    NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

    January 14, 2026

    NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

    January 14, 2026
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Home
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    BongoforumBongoforum
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Subscribe
    Bongoforum
    Home»Ajira»MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma
    Ajira

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    BongoforumBy BongoforumJanuary 14, 2026No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

    Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

    Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
    kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

    MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma

    Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
    Bongoforum
    • Website

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

    January 14, 2026
    Ajira

    NAFASI za Kazi Manispaa ya Tabora

    January 14, 2026
    Ajira

    NAFASI za Kazi Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Crae Assistant) Utumishi

    January 14, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal January 2026

    January 12, 2026427 Views

    NAFASI 912 za Kazi Utumishi (MDAs & LGAs)

    January 14, 202631 Views

    NAFASI 142 za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

    January 11, 202630 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    © 2026 BongoForum. Designed by BongoForum.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

    Ad Blocker Enabled!
    Ad Blocker Enabled!
    Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors. Please support us by disabling your Ad Blocker.