NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuomba nafasi (08) za kazi baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo
