NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal January 2026

Ajira Portal ni jukwaa la kidijitali lililoanzishwa na Serikali ya Kenya kwa lengo la kuwaunganisha wananchi na fursa mbalimbali za ajira na kazi za kujitegemea. Kupitia tovuti hii, waajiri wanaweza kutangaza nafasi za kazi huku watafuta ajira wakipata nafasi ya kuomba ajira kwa urahisi bila gharama. Ajira Portal pia hutoa taarifa kuhusu kazi za muda mfupi, kandarasi, mafunzo, na fursa za kujiajiri, hivyo kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira nchini.
Mbali na kuunganisha waajiri na watafuta ajira, Ajira Portal hutoa mafunzo ya mtandaoni yanayolenga kuongeza ujuzi wa kidijitali na kitaaluma. Mafunzo haya huwasaidia vijana na watu wazima kuboresha uwezo wao ili kushindana vyema katika soko la ajira la kisasa. Kupitia Ajira Portal, wananchi wanahimizwa kutumia teknolojia kama njia ya kupata kipato halali na kujenga maisha bora.
NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal January 2025
Bonyeza Hapa Kusoma Nafasi Zilizopo
